Nini maana ya neno 'tosa'

Nini maana ya neno 'tosa'

ekan

New Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Kwa anayefamu Kiswahili anipe tafsiri ya neno t'osa''.
 
umepotea kijana, peleka jukwaa Lugha, hapa kudinyana tu
 
Asili yake ni kutupa kitu baharini au ziwani.Ila limetafutiwa maana nyingine kama mtu kukunyima kitu au mwanamke au mwanaume kumkataa mwenzie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom