Nini maana ya neno Ndoa

Nini maana ya neno Ndoa

swaswa

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
235
Reaction score
66
Wakuu habari zenu? leo kwenye group flani hivi la Whatsap tumebishana Sana kuhusu ndoa ni nini? na imeandikwa wapi kwenye Biblia hii ikafanya mpaka wadadisi wakajaribu ku Google ili kupata jibu lakini jibu halijapatikana, msaada wenu tafadhali naomba kujua ndoa ni nini na kitabu gani kwenye Bible kimeongelea ndoa
 
Ndoa ni makubaliano ya hiyari ya kuishi pamoja kati ya mwanaume na mwanamke.
Kifungu nimesahau
 
Back
Top Bottom