Kwmb mtu akikulala inakua umemlipa ama vip,kuchachuana ni jambo la kijamii tu haliondoi maana ya msaadaNachoelewa mfano unamsaidia binti kumsomesha ila huhitaji chochote kwake au shukran yoyote huo ndio msaada.
Ila unamlala mwanamke huku unasema unamsaidia ni aina gani ya msaada, ninavyoelewa msaada unatoa bila kutegemea chochote pande ingine.
Anaeweza chambua anisaidie
Kwahiyo akilalwa anaona kalipa?Nachoelewa mfano unamsaidia binti kumsomesha ila huhitaji chochote kwake au shukran yoyote huo ndio msaada.
Ila unamlala mwanamke huku unasema unamsaidia ni aina gani ya msaada, ninavyoelewa msaada unatoa bila kutegemea chochote pande ingine.
Anaeweza chambua anisaidie