Mixtape ni mkusanyiko wa nyimbo kwny cd au kanda moja.... yani nyimbo ambazo zina idea tofauti...kwamba jina lake linaweza lisisadiki yaliyomo kila nyimbo inajieleza yenyewe.... mfano mwenge to kiwalani au ile ya wakazi.... kwa kawaida huwa zinatokaga bure jst for watu tu kupata mziki wako... na unaweza kusampo beat bila mwny beat kumind kwa sababu haiuzwi... ila pia unaweza kuuza ila zinakuwaga sio bei sawa na zile za album... huwa bei inakua less
Producer cjajua ila nahisi anaweza kua yoyote... performance sio lazima aperform kwasababu sio oficial songs ila km zimehit anaweza akaperform for his/her fans... ni muda wowote tu anaweza kutoa.... mixtape... sio oficial...
Mixtape ni mkusanyiko wa nyimbo kwny cd au kanda moja.... yani nyimbo ambazo zina idea tofauti...kwamba jina lake linaweza lisisadiki yaliyomo kila nyimbo inajieleza yenyewe.... mfano mwenge to kiwalani au ile ya wakazi.... kwa kawaida huwa zinatokaga bure jst for watu tu kupata mziki wako... na unaweza kusampo beat bila mwny beat kumind kwa sababu haiuzwi... ila pia unaweza kuuza ila zinakuwaga sio bei sawa na zile za album... huwa bei inakua less
Yeah umemuelezea vizuri kwa kiasi chake...kuuzwa kwa mixtape ni kurudisha Garama zilizotumika sio kwa lengo la kufanya big deal kama ilivyo kwenye album.