M Mchanya JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,062 Reaction score 1,713 Jul 24, 2018 #1 "Ukitaka Kula Nguruwe Chagua aliyenona" Mwenye kujua maana ya methali hii naomba anijuze tafadhali
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,932 Reaction score 34,916 Jul 24, 2018 #2 Mchanya said: "Ukitaka Kula Nguruwe Chagua aliyenona" Mwenye kujua maana ya methali hii naomba anijuze tafadhali Click to expand... Ukitaka kufanya dhambi, dhuluma au uovu fanya mpaka shetani mwenyewe AKUPIGIE SALUTE !
Mchanya said: "Ukitaka Kula Nguruwe Chagua aliyenona" Mwenye kujua maana ya methali hii naomba anijuze tafadhali Click to expand... Ukitaka kufanya dhambi, dhuluma au uovu fanya mpaka shetani mwenyewe AKUPIGIE SALUTE !
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,994 Reaction score 54,065 Jul 24, 2018 #3 Ukiiba iba kweli sio unajibana kwenye kuta za nyumba za watu ukiwanyang'anya watu simu na vipochi
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,224 Reaction score 12,622 Jul 24, 2018 #4 hii ni hints kwa wale ambao nguruwe upenuni ni kharam, sasa wakiwa huko gizani wanaambiwa wakiagiza waagize mzigo wa maana....cjui kwanini hawakusema mbuzi aliyenona
hii ni hints kwa wale ambao nguruwe upenuni ni kharam, sasa wakiwa huko gizani wanaambiwa wakiagiza waagize mzigo wa maana....cjui kwanini hawakusema mbuzi aliyenona
wilbald JF-Expert Member Joined Dec 17, 2007 Posts 1,810 Reaction score 1,379 Jul 24, 2018 #5 Ukitaka kuiba mwibie tajiri siyo masikini.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,421 Jul 24, 2018 #6 ukinuia kufanya jambo lifanye kwa moyo wote
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,458 Reaction score 29,168 Jul 24, 2018 #7 Joseverest said: ukinuia kufanya jambo lifanye kwa moyo wote Click to expand... Kidogo umejitahidi
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,458 Reaction score 29,168 Jul 24, 2018 #8 Mchanya said: "Ukitaka Kula Nguruwe Chagua aliyenona" Mwenye kujua maana ya methali hii naomba anijuze tafadhali Click to expand... Alimaanisha usichague kitoto bado hakijakomaa hivyo hakitakuwa kitam
Mchanya said: "Ukitaka Kula Nguruwe Chagua aliyenona" Mwenye kujua maana ya methali hii naomba anijuze tafadhali Click to expand... Alimaanisha usichague kitoto bado hakijakomaa hivyo hakitakuwa kitam