GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,772
Hii ni miongoni mwa kauli ambayo inanitatanisha sana, Huwa najiuliza ni Lini katika nchi hii kulikuwa na fedha za bure? Nani alikuwa anazipata? Ulikuwa unatakiwa kufanya nini ili uweze kupata fedha hizo za Bure?
Waungwana hizi fedha za Bure hizi, zinanitatanisha sana? Au ndo kusema hakutakuwa na fedha tu?
Waungwana hizi fedha za Bure hizi, zinanitatanisha sana? Au ndo kusema hakutakuwa na fedha tu?