The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Lizzy kusamehe ni jambo moja na kurudia mahusiano kama vile mwanzo ni jambo tofauti, kwangu hii pia inategemea na kosa lenyewe. Kama ni kosa dogo tu basi twaweza jirahidi kurudi kama zamani.
Lakini kukosewa kwingine hata ukiamua kuyaachilia yapite bado hamuwezi kuwa kama zamani kamwe.
Kwanza kumbuka hapo tayarri mahusiano yenu...hapa namaanisha mahusiano yawayo yote yale, tayari yameingia dosari, sasa mtakuwaje kama zamani!
...kusamehe gharama,....mwj1 nisamehe na mimi basi...lol
...msamaha unategemeana na mhusika na kosa lenyewe...
kwangu mimi inategemeana impact ya kukosewa huko kulivyo athiri maisha yangu.
kuna makosa yanasamaheka na kusahaulika,
kuna makosa yanasameheka lakini hayasahauliki, na
kuna makosa hayasameheki wala hayasahauliki!
Kwa kweli hii mada naweza kusema ni pana lakini kusamehe kuna differ from person to person, kusamehe kutokuwa na hasira na mtu aliyekukosea and being able to be around the person without feeling the need to act passive-aggressive towards them and feeling comfortable and at peace with them ingawa kwa wengine inaweza kuwa ni vigumu sana.
To forgive somebody, you are completely clearing the slate, you hold no grudges, and, you act, as you did, before they committed the crime against you, however, at some point, i wonder, was Jesus right, is it good to forgive somebody, even if they have commited the greatest sin against you,vile vile nafikiria kwa maana nyingine tunaweza kusema kusamehe (Forgiveness) is that you accept peoples mortality and along with that their flaws and then help them overcome those flaws but only if their willing to admit they are flawed .
Kuna rafiki yangu yeye huwa anasema "I dont forgive, i watch and wait for them to screw up again. If they caused me irreversible damage, i wouldn't be able to forgive them, how do you forgive someone who's in the hospital?"halafu kusamehe bila 'yule aliekosea' kuomba msamaha nayo ni kazi bure...
unasikia mtu anasema 'mie nimeshamsamehe'
wakati huyo 'aliesamehewa' wala hakuwahi kusema 'alikosa'
hii inawakuta wadada weengi sana.......eti nimemsamehe tumerudiana..
wakati kidume kina endelea ku 'bully tu mdada'
sad....
Really???Kwa kweli hii mada naweza kusema ni pana lakini kusamehe kuna differ from person to person, kusamehe kutokuwa na hasira na mtu aliyekukosea and being able to be around the person without feeling the need to act passive-aggressive towards them and feeling comfortable and at peace with them ingawa kwa wengine inaweza kuwa ni vigumu sana.
To forgive somebody, you are completely clearing the slate, you hold no grudges, and, you act, as you did, before they committed the crime against you, however, at some point, i wonder, was Jesus right, is it good to forgive somebody, even if they have commited the greatest sin against you,vile vile nafikiria kwa maana nyingine tunaweza kusema kusamehe (Forgiveness) is that you accept peoples mortality and along with that their flaws and then help them overcome those flaws but only if their willing to admit they are flawed .
Dah!! Boss acha hizo....lol:lol: haya twende kaziunawatenga watu aisee...
oxford tupu lol
hebu onesha ushirikiano na ST Kayumba basi....lol
Hehehehhe...
Asante Mbu kwa clip...nasubiria huo msamaha niloahidiwa sasa!
Inawezakana kabisa lakini je uliishawahi sikia watu wanasema "Yule jamaa nimemsamehe lakini simuamini tena" pia mfano mdogo tu ni kwa The Boss anasema amewasamehe ndugu zake lakini hataki kukaribiana nao hata kidogo hii ina maanisha kuwa hayuko tayari kushirikiana nao kama ilivyokuwa hapo mwanzoniReally???
Kwani haiwezekani mtu asiwe na kinyongo na wewe ila asikupende/amini/shirikiana na wewe kama mwanzo?
mbu hakuna makosa ambayo'hayasameheki'
kitendo cha kutokusamehe ni 'kujiumiza mwenyewe'
ndo maana mimi na LIZZY tunasema una let go...
yaani unahakikisha hilo 'kosa' halikuumizi tena wala
husikii 'maumivu' wala 'kuwakasirikia' waliokuudhi....
unaweza hata kuzungumza nao tu..
inasaidia 'kiafya' ku let go....
yaani unafunga ukurasa.....

Mbu,
Kwahiyo mwisho wa siku unaweza ukamsamehe mtu (given kosa lake linaruhusu) ila ukashindwa kurudisha mahusiano yenu ya mwanzo hivyo kila mmoja kwenda na njia zake/mkapunguza ukaribu?
Sasa kosa kufutwa ni kama tufanye hakikutokea kitu sio?BHT hapo kwenye nyekundu na mimi ndivyo ninavyoamini hivyo...
Ila kwa watu wengine hayo mawili yanaenda pamoja. Kwamba kama umenisamehe tayari automatically mahusiano yetu ymekua restored na sio kwamba unakua na option ya kuchagua kutofanya hivyo.
Para ya mwisho...nakubaliana na wewe moja kwa moja. Sema sasa hawa watu wa ''nilidhani umenisamehe'' hua wanafanya kusuggest kwamba kosa lifutwe..yani msahama unafuta kosa na kufanya kama vile halikuwahi kutokea.
Na mara nyingi watu wanashindwa kutoa msamaha kwasababu hiyoSpot on Boss!
Katika vitu ambavyo hua vinawaumiza watu ni ile hali ya kubeba kosa ulilotendewa maisha yako yote.
Ndio mtu anaweza akawa amekutendea kitu ambacho hukutegemea toka kwake /ambacho hukustahili ukaona kosa hilo halistahili msamaha wako. Ubaya unakuja pale ambapo zile hisia unazokuwa nazo juu ya ulichotendewa/na aliyekutendea zinapokuumiza wewe wakati yeye hata hazimgusi.
Kusamehe kunaruhusu wewe kuachana na kilichotokea na kusonga mbele. Waweza usisahau moja kwa moja ila hakitakuwepo kwenye akili yako muda wote...na pale kitakapokurudia (kumbukumbu) hutoumia wala hakitokusumbua.
...lol...Lizzy, nimekusamehe ila sitasahau somo, tutange yajayo hehe!
Kwenye uhusiano! kama kuachana kwenu kulitokana na kosa ambalo mmoja wenu amegundua alikosa na kuja kuomba msamaha, basi kama ukimsamehe maanayake maisha yanarudi kama zamani kwani ni hiyo sababu ndio iliofanya mtengane kama umelidhika kusamehe hakuna budi vitu kurudi normal!
Inawezakana kabisa lakini je uliishawahi sikia watu wanasema "Yule jamaa nimemsamehe lakini simuamini tena" pia mfano mdogo tu ni kwa The Boss anasema amewasamehe ndugu zake lakini hataki kukaribiana nao hata kidogo hii ina maanisha kuwa hayuko tayari kushirikiana nao kama ilivyokuwa hapo mwanzoni
Spot on Boss!
Katika vitu ambavyo hua vinawaumiza watu ni ile hali ya kubeba kosa ulilotendewa maisha yako yote.
Ndio mtu anaweza akawa amekutendea kitu ambacho hukutegemea toka kwake /ambacho hukustahili ukaona kosa hilo halistahili msamaha wako. Ubaya unakuja pale ambapo zile hisia unazokuwa nazo juu ya ulichotendewa/na aliyekutendea zinapokuumiza wewe wakati yeye hata hazimgusi.
Kusamehe kunaruhusu wewe kuachana na kilichotokea na kusonga mbele. Waweza usisahau moja kwa moja ila hakitakuwepo kwenye akili yako muda wote...na pale kitakapokurudia (kumbukumbu) hutoumia wala hakitokusumbua.
Hahahahaha...asante kwa msamaha. ''Tugange yajayo''...does that mean we should pick up where we left things?
....inategemeana na experiences zako....binafsi kuna makosa ambayo pamoja na maisha kuendelea,
bado sijapata sababu ya kuyasamehe aisee... ni kovu, halifutiki!