dada yangu mdogo umri miaka 6 alikuwa anaugua maradhi ya tumbo na alikuwa hapati kwenda haja kubwa vizuri.basi alipopata afueni,alitembelewa na mjomba na kuulizwa:je,bi mdogo umepata choo? nae bila kusita kajibu:mie sijapata choo,bado natumia kile pale cha kila mtu hapa nyumbani.