Nini maana ya kulala chini unapofiwa?

hmarskov

Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
57
Reaction score
21
Habari wana JF.

Naomba kuuliza, hivi nini maana haswa ya wafiwa kulala chini kipindi cha msiba? Hii ni kwa baadhi ya makabila.
 
Habari wana JF.

Naomba kuuliza, hivi nini maana haswa ya wafiwa kulala chini kipindi cha msiba? Hii ni kwa baadhi ya makabila.

Nina uhakika humaanishi watu wote msibani hulala chini na kucha vitabda visitumike? Ninachojua ni kuwa kwa vile msibani wanakuja watu wengi na ile sio nyumba ya wageni ni obvious vitabda havitawatosha na hivyo lazima watu walale chini. Nothing special.
 
Nafikiri pamoja na mazingira pia ni ishara ya kuomboleza

Kwenye vitabu vya dini tunaoneshwa zamani kipindi cha maombolezo walikuwa wanavaa magunia na kunyoa nywele pia
 
Habari wana JF.

Naomba kuuliza, hivi nini maana haswa ya wafiwa kulala chini kipindi cha msiba? Hii ni kwa baadhi ya makabila.

Kwa sisi waxaramo unapofiwa kuanzia siku ile ya kwanza ya msiba mtalala chini kwenye mkeka siku tatu hii tunaita kukaliza maiti siku yatatu asubuhi na mapema tunaamka kwa pamoja tunafagia uwanja pamoja na vyumba vyote walivyolala wafiwa takataka zote tunaweka kwenye sufulia tunachanganya na majivu bibi au shangazi atahusika kubeba kichwani tunaongozana wote kwa pamoja aliebeba sefulia akiwa ametangulia mbele hadi makabulini anatupa sefulia pamoja na uchafu wake haraka sana tunageuza na kuludi nyumbani hiii humaanisha maladh yoyote aliyougua marehemu yasijiludie kwa mwanafamilia mwingine.
 

hii nayo ni aina ya ushirikina.
 
Iyo ni mila na destuli jalibu kuelewa afu soma vizur apo utapata jibu la swali lako iyo ni iman na iman siku zote huumba
 
Naona uhaba wa vitanda sababu msiba sio kitu cha kufanya maandalizi kama sherehe utaandaa vinywaji au chakula ni kitu cha kushitukiza tu
 

Hili ndio jibu akibisha akalambe malimao
 

Latifaaaa.....
 
Hakuna mpango wowote, nakubaliana na wengine kuwa vitanda havitoshi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…