kupo kwa aina nyingi mkuu. Hata kitendo cha serikali ya nchi fulani kutolea tamko uchaguzi wa nchi nyingine hako ni kuingulia uchaguzi unless wawe walipata kibali kama wasimamizi wa kimataifa.
Mfano unakuta serikali ya nchi fulani inapigia kelele uchaguzi ea nchi nyingine kuwa kaukuwa wa hali, au kampeni hazikuwa za uhuru, au katiba ilivunjwa, au kupeleka wasimamizi bila kibali au kuombwa, kumpigia kampeni mgombea wa chama fulani, na hata kusifia pia ni kuingilia uchaguzi. Kasoro kumsifia mgombea tu ambaye katangazwa mshindi.