free prisoner
Member
- Jun 11, 2020
- 15
- 11
Siku moja nilimuuliza swali mheshimiwa mmoja: Kwanini ulikuwa unasimama jukwaani na kusema CCM matumbo ya Tembo yanameza kila kitu na hawashibi, wamemaliza nchi kwa matumbo yao makubwa yasioshiba, na sasa katika kipindi hiki cha awamu ya tano ya tumbua tumbua unasema watu wananyanyasika hakuna utawala wa sheria watumishi hawatendewi haki wanafukuzwa hovyo?
Nikakamuuliza tena: Mbona sasa unawatetea wale wenye matumbo ya tembo sasa wewe upo upande gani? Akanijibu: Huo ndio upinzani; tukianza kusifu si upinzani hautakuwepo?
Hapo nilichoka kabisa; kumbe wananchi tunayumbishwa kwa sitaili hii.
WANANCHI TUCHUKUE TAHADHARI NA KAULI ZA WANASIASA (SIKILIZA OGEZA NA ZA KWAKO)