Nini maana ya kama chama na Mongela

Nini maana ya kama chama na Mongela

Joined
Aug 9, 2018
Posts
44
Reaction score
32
Shikamooni wakubwa ,
Waswahili wanasema kuuliza sio ujinga ila lengo ni kutaka kujua.
Sisi wengine tumezaliwa miaka ya 1990.hivuo mambo mengi hatuyafahamu vizuri .
Nimekuwa nikisikia kwa muda mrefu kauli moja inayosema "KAMA CHAMA NA MONGELA" Ila hadi leo hii sifahamu ni kwa nini imetokea hivyo ,
Hivyo wakubwa zangu naomba mnijuze kijana wenu ili nami nielewe.
 
Labda mv nyerere kuzama na kwenda kulala kuogopa giza mpaka kesho ndo tuendelee na uokoaji
 
Unaweza kuwa umekosea "MONGELA au MOGELA
Kuna Athumani Juma "CHAMA" Alikuwa beki mahiri huyu wa Yanga na ZAMOYONI MOGELA alikuwa mshambuliaji hatari wa Simba.
Hao watu wawili ilikuwa balaa kila mtu kwenye nafasi yake. Nackia kuna kipindi huyo Chama alikuwa majeruhi hlf ikawa mechi ya watani ndo imefika ilibidi adungwe sindano ya kuzuia maumivu ili tu aweze kucheza kumzuia zamoyoni mogella

Chama na mogella
 
Back
Top Bottom