Kabla ya kulala omba dua Au sali kwa imani yako
Pili angalia sana ulalaji wako, mfano kulala chali mara nyingi sana inasababisha kuota ndoto za ajabu (kuna hii thread humu inaelezea kuhusu kulala chali na kuota)
Pia pendelea kuvaa nguo ukilala hata laini kama boxer hivi usilale uchi...