Habari za muda huu mwez mmoja uliopita nilikuwa na samsung note 9, kuna mtu alikuja na oppo A93 kwa kuwa nilipenda ile simu nilibadilishana naye, nilipo kuja mwambia rafiki yangu mmoja alinicheka sanaa aliniambia yaani umekubali kubadilishana flagship phone na simu za kawaida bila kuongezewa hela yeyote, ile nikamuuliza flagship ndio nini yaya akaniambia hana maelezo sanaa kuhusu flagship ila tu nijue note na S series ni flagship na simu nzuri zaidi.
Sasa naombeni mnisaidie hapa maana ya flagship na sifa gani simu inatakiwa iwe nazo ili iitwe flagship? Je naweza jua Series nyingine za simu ambazo ni flagship? Mfano S na NOTE kwa samsung? Asanteni sana na kwa bajeti ya laki 8 hadi 9 simu gani nzuri naweza pata (mimi kama mimi nilikuwa na plan na iphone xs max ingawa nimeambiwa ni ndogo sana kuipata kwa hii bei)
Chief-Mkwawa T14 Armata
Kumbe eeennh siyo mbayaNote 9 inamika mingapi mpaka sasa.je thamani yake kwa sasa na umetumia mda mgani wakati hiyo oppo a93 imetoka 2020.sio mbaya .
Labda ungebadilishana na kitu kilichopo nyuma zaidi
Kumbe eeennh siyo mbaya
Oppo,one plus ,mi wanateknolojia ambazo kila mtu hana mudu sio fulani fulaniView attachment 1748473
Oppo,one plus ,mi wanateknolojia ambazo kila mtu hana mudu sio fulani fulaniView attachment 1748473
Ni nzur kama cyo mpenz wa mambo meng kuna sometime nikipigisha game kwa muda mrefu huwa kma ina chemka sijui n zote zipo hvyo au ni mm tu then camera yake hata sijailewa kwa upande wangu cjui detail zake za uongo maana kama vile zinaukungu flan hvmbona mimi nina mpango wa kununua OPPO a93 na dizaini kama nime ielewa sana
kwani yeye alinunua mda gani na je alichukua dukani au kwa mtuNi nzur kama cyo mpenz wa mambo meng kuna sometime nikipigisha game kwa muda mrefu huwa kma ina chemka sijui n zote zipo hvyo au ni mm tu then camera yake hata sijailewa kwa upande wangu cjui detail zake za uongo maana kama vile zinaukungu flan hv
kwangu mimi kuna mtu alikkuwa ana ni hadithia kuwa oppo ni simu nzuri sana kwenye swala la camera huwa iko poa sana. sasa sijajua hiyo ya kwakoNi nzur kama cyo mpenz wa mambo meng kuna sometime nikipigisha game kwa muda mrefu huwa kma ina chemka sijui n zote zipo hvyo au ni mm tu then camera yake hata sijailewa kwa upande wangu cjui detail zake za uongo maana kama vile zinaukungu flan hv
Redmi k20 pro. Zilitolewa kwa ajili ya China tu.
Version ya Global ya hiyo ni
Hii simu ina utofauti gani na Xiaomi mi 9t pro?kwa xiaomi redmi series hazijawahi kua flagship
Mkuu ulitakiwa uje kuuliza Kwanza kisha ndy ufanye maamuziMm nikajua kwakuwa n ya 2020 na betri yake ni 5000 nikazania jamaa nimempiga hatar kumbe mm ndio nimepigwa daaah
Hii ni flagship ndio..ila ya miaka 6 iliyopitaHatari Sana Haya Mambo Ya Technology
Samsung Galaxy S6 SM-G920F European Model
Kwasasa Hivi Bado Ipo Kwenye Hayo Mnayoyasema?
Sawa Sawa!!πππππHii ni flagship ndio..ila ya miaka 6 iliyopita
Utawaangusha Watu Kwa Pressure Muda Huu πSasa bouy mi 9pro ni flagship ya xiaomi ? Ya mwaka gani .So far ni simu nzur sana ila sio flagship
Akileta ushahidi natengua kauliUtawaangusha Watu Kwa Pressure Muda Huu π