Magari yote ya kisasa yanayo tengenezwa kutoka Japani yanatumia Engine System ya Direct Injection (D-4) , Ingawa wameacha kutumia neno D-4, Kwani ilipotoshwa na Competitors wao. Technologia hii ndiyo inayotumika kwa magari mengi ya Germany tangu miaka ya 1980.(Benz, BMW N.k).Ukiona engine zote za 1ZR-FE,2ZR-FE,2ZR-FAE,3ZR-FE,3ZR-FAE, 3ZR-FBE,4ZR-FE,5ZR-FXE, ambazo ndiyo za kisasa zinatumia mfumo huo, VVT nimfumo unaohusu matumizi ya Cam shaft mbili kufungua Valve , Kwa hiyo basi Direct Injection ni njisi mafuta yanavyo ingia kwevye Cylinder, na VVT -(Variable valve Timing,) Valve zinavyo funguka. Hivyo basi Direct Injection ni mfumo mzuri kwa sasa , Ingawa ni kweli unahitaji mafuta mazuri. Namakampuni mengi ya magari ndo yanatumia mfumohuo kwa sasa.
Hivyo basi Gari hiyo hiyo itatumia Direct Injection na VVT.