Kifaranga Senior Member Jan 6, 2011 144 31 Dec 28, 2020 #1 Wakuu, hivi maaana ya hili neno "Achuz" ni nini? Msaada tutani.
Dr hyperkid JF-Expert Member Jun 7, 2019 10,126 19,721 Dec 28, 2020 #2 We Nani kakwambia? namanisha jinsia gani
Kifaranga Senior Member Jan 6, 2011 144 31 Dec 28, 2020 Thread starter #5 hyperkid said: We Nani kakwambia? namanisha jinsia gani Click to expand... Ha ha mshkaji wangu bhana wa kiume kama mm
hyperkid said: We Nani kakwambia? namanisha jinsia gani Click to expand... Ha ha mshkaji wangu bhana wa kiume kama mm
Kifaranga Senior Member Jan 6, 2011 144 31 Dec 28, 2020 Thread starter #6 Eng. R.G.M said: .View attachment 1661570 Click to expand... Asante sana mkuu ubarikiwe
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Feb 19, 2011 9,238 6,365 Dec 28, 2020 #8 Kifaranga said: Wakuu, hivi maaana ya hili neno "Achuz" ni nini? Msaada tutani. Click to expand... Usituletee maneno ya Kihindi na kutaka kuyahalalisha kuwa ni ya Kiswahili. Ukiona vipi, rudi basi shuleni.
Kifaranga said: Wakuu, hivi maaana ya hili neno "Achuz" ni nini? Msaada tutani. Click to expand... Usituletee maneno ya Kihindi na kutaka kuyahalalisha kuwa ni ya Kiswahili. Ukiona vipi, rudi basi shuleni.
Perfectz JF-Expert Member May 17, 2017 8,844 27,554 Dec 28, 2020 #9 DUUU UO WAPI MKUU?HILI NENO MTAANI KWETU LIMEJULIKANA KITAMBO SANA NA TUSHAACHA KULITUMIA.NAHISI UTAKUWA WA MKOANI WEWE
DUUU UO WAPI MKUU?HILI NENO MTAANI KWETU LIMEJULIKANA KITAMBO SANA NA TUSHAACHA KULITUMIA.NAHISI UTAKUWA WA MKOANI WEWE
USSR JF-Expert Member Jul 15, 2015 9,896 22,666 Dec 28, 2020 #10 Kifaranga said: Wakuu, hivi maaana ya hili neno "Achuz" ni nini? Msaada tutani. Click to expand... Lina sound kama ushuzi vile
Kifaranga said: Wakuu, hivi maaana ya hili neno "Achuz" ni nini? Msaada tutani. Click to expand... Lina sound kama ushuzi vile
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,559 142,336 Dec 28, 2020 #11 Natumae umepata muongozo... Cc: mahondaw
Auz JF-Expert Member Apr 6, 2016 13,190 10,918 Jan 7, 2021 #12 Kifaranga said: Wakuu, hivi maaana ya hili neno "Achuz" ni nini? Msaada tutani. Click to expand... Ungetoa walau vihisia, umelitoa wapi, lilitumika aje n.k. La sivyo itakuwa kazi hata kwa mwenye nia ya kusaidia kulitafuta.
Kifaranga said: Wakuu, hivi maaana ya hili neno "Achuz" ni nini? Msaada tutani. Click to expand... Ungetoa walau vihisia, umelitoa wapi, lilitumika aje n.k. La sivyo itakuwa kazi hata kwa mwenye nia ya kusaidia kulitafuta.