Alafu sijui kwa nini mahusiano yenye kelele kila siku huwa hayavunjiki kama inavyotegemewa na wengi,
Yaani utakuta mala mke kachapwa ngumi ya mbavu ,mala wanapelekana s/mitaa ila ajabu hawaachani,,nimeshuhudia ndoa nyingi za namna hiyo ,,
Hizo za akina billgate ni kuchoshana tu kuzijadili ndoa za aina hiyo,