Kama unajua maana ya intersection basi kwa tafsiri yako flyover na interchange zote ni intersection. Tatizo linalowasumbua watu hapa ni design ya hii interchange ya Kijazi. Wanadhani interchange lazima iwe na muundo wa kupinda pinda ndio iitwe interchange!
Hivi mleta mada amesema halijasaidia kupunguza foleni? Umeanza sijui eti we ni Ukawa, so what? Embu tutumie akili basi tunapoweka maandiko humu, sababu yanaishi muda mrefu.
Unaonyesha uzwazwa tu, intersection ni mahali barabara mbili zinapokutana ziwe za lami au vumbi, iwe juu au chini.
Hakuna kitu kinaitwa intersection road, kwenye mambo yanayohitaji elimu kaa kimya.
Soma tena ulicho andika kuhusu jibu langu kua hiyo ni intersection road...alafu wewe na elimu ni vitu viwili tofauti kumbuka .Elimu ina wewe ila wewe elimu huna.Siku ina masaa 48