Maelezo yametulia sana. Shukrani kwa shule mkuu.Katika fani ya usafiri wa barabara, interchange ni makutano ya barabara ambayo yanatenganisha barabara kwa wimo tofauti ili kuruhusu magari ya upande mmoja kupita katika makutano ya barabara bila kukutana/kupishana njia na magari yanayotokea upande mwingine...
Wajinga wadiotaka kuelimishwa bwana....Siku ina masaa 48.Kilichojengwa na WORLD BANK ni intersectionAisee.. Hii ni laana ama nini?
Mleta mada jiangalie sana huenda una laana ya kupinga pinga na huenda kuna siku ulimkataa babako ndio ukaipata.
Hapa ndipo ninapoipendea JF yaani mtu anachukua muda wake kuandika na kuelewesha wengine bila hiyana.Katika fani ya usafiri wa barabara, interchange ni makutano ya barabara ambayo yanatenganisha barabara kwa wimo tofauti ili kuruhusu magari ya upande mmoja kupita katika makutano ya barabara bila kukutana/kupishana njia na magari yanayotokea upande mwingine...
Mkuu ebu acha fix...hii ya Ubunge ni intersection roadKatika fani ya usafiri wa barabara, interchange ni makutano ya barabara ambayo yanatenganisha barabara kwa wimo tofauti ili kuruhusu magari ya upande mmoja kupita katika makutano ya barabara bila kukutana/kupishana njia na magari yanayotokea upande mwingine...
Hakuna kitu kinachoitwa "intersection road".Mkuu ebu acha fix...hii ya Ubunge ni intersection road
Hayo jaza wewe!!Kweli kabisa na polisi wakasika bunduki kua lazma wapinzani wasitangazwe
Magufuli anasema madiwani hawakuchaguliwa na wananchi , alishasema huko nyuma kwamba wabunge nao hawakuchaguliwa , sasa kapuku kama wewe kusema wananchi walituadhibu umetoa wapi ?Nia ya ndani kabisa ya mwandishi ni Ujinga wa kiupinzani usiosaidia kitu na ndio huo ujinga uliwakera wananchi wakaamua kutoa Adhabu ya karne
Unaonyesha uzwazwa tu, intersection ni mahali barabara mbili zinapokutana ziwe za lami au vumbi, iwe juu au chini.Mkuu ebu acha fix...hii ya Ubunge ni intersection road
Kwa hiyo kuuliza swali ni kupinga?!Aisee.. Hii ni laana ama nini?
Mleta mada jiangalie sana huenda una laana ya kupinga pinga na huenda kuna siku ulimkataa babako ndio ukaipata.
Anzisha mada nyingine ya uchaguzi Ili tuijadili, Maana hapo umenilisha maneno we kibwengo wa ufipa,Magufuli anasema madiwani hawakuchaguliwa na wananchi , alishasema huko nyuma kwamba wabunge nao hawakuchaguliwa , sasa kapuku kama wewe kusema wananchi walituadhibu umetoa wapi ?
πππ niliwasahau Chief, japo ni mkopo lakini KUDOS kwao pia.Huu ni unafiki yaana umekataa kuwapongeza ata BENKI YA DUNIA
Nimemuelewa sana. Na yeye kajua nimemuelewa mno. Jibu limemtosha kabisa. Whatever iitwavyo ila imesaidia sana kupunguza changamoto pale ilipo.
"whatever iitwavyo "πππNimemuelewa sana. Na yeye kajua nimemuelewa mno. Jibu limemtosha kabisa. Whatever iitwavyo ila imesaidia sana kupunguza changamoto pale ilipo.
Ina maana Kukataa kwamba Tanzania kuna Corona ila Uvaaji wa Barakoa tunahimizwa ni muhimu. Nadhani hiyo Interchange unayoiulizia umeiona hapo Ndugu.Je ni kama picha hii
View attachment 1710988
Au hata barabara iliyokaa kama msalaba kwa maana ya kutoka kulia kwenda kushoto na kutoka nyuma kwenda mbele nayo yaitwa Interchange ?....
Bado nakusanya hoja zaoNatumae mleta mada umepata muongozo...
Wananchi wapi?Nia ya ndani kabisa ya mwandishi ni Ujinga wa kiupinzani usiosaidia kitu na ndio huo ujinga uliwakera wananchi wakaamua kutoa Adhabu ya karne