simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,764 Reaction score 9,676 Feb 23, 2016 #1 Hivi karibuni muheshimiwa JPM amesema mzanzibari yeyote akileta fyoko fyoko atashugulikiwa. Nini maana ya fyoko.
Hivi karibuni muheshimiwa JPM amesema mzanzibari yeyote akileta fyoko fyoko atashugulikiwa. Nini maana ya fyoko.
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,996 Reaction score 15,119 Feb 23, 2016 #2 simplemind said: Hivi karibuni muheshimiwa JPM amesema mzanzibari yeyeto akileta fyoko fyoko atashugulikiwa. Nini maana ya fyoko. Click to expand... Ni neno la kiarabu :- Fikyoum yaani "mambo yenu" yenu
simplemind said: Hivi karibuni muheshimiwa JPM amesema mzanzibari yeyeto akileta fyoko fyoko atashugulikiwa. Nini maana ya fyoko. Click to expand... Ni neno la kiarabu :- Fikyoum yaani "mambo yenu" yenu
sagai532 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2015 Posts 1,149 Reaction score 561 Feb 26, 2016 #3 Ni neno la kichato chato maana yake kuwabumbuluwa watu