conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 838
- 715
Create demand, Kwa watu kustaafu wakiwa na umri mdogo, letsays fresh graduate afanye miaka 20 Tu, aombe mikopo aanzidhe biashara Kwa lazma, na wale wakongwe kutegemea na Kada 10 Tu kama ilivyobiqshara ya ubunge...tutatengeneza turnover yakutosha, na itapunguza TAMAA . Kama unataka miaka mingi kazin anzisha biashara yako sio ya Umma. pili tuondoe kauli dhaifu ya 50/50 pambana mpaka utoboe. Hii itasaidia discourage ya KUAJILIWA hivyo wajasilia mali watakuwa wengi hence Ajira nyingi .