...labda afe " kanumba" mwingine tena.
Wakuu hali nchini siyo nzuri kwani serikali iko taabani kila eneo yaani kifedha, kiutawala nk. Lakini mkuu yuko brazil anakagua mashamba ya nyanya, yaani ni ajabu haijapata tokea. Kama rais wetu aliahirisha ziara ughaibuni kwa sababu ya kifo cha kanumba anashindwa nini kurudi nyumbani kutatua matatizo yote haya?
KIKWETE NI MZIGO KWA TAIFA LETU.Wakuu hali nchini siyo nzuri kwani serikali iko taabani kila eneo yaani kifedha, kiutawala nk. Lakini mkuu yuko brazil anakagua mashamba ya nyanya, yaani ni ajabu haijapata tokea. Kama rais wetu aliahirisha ziara ughaibuni kwa sababu ya kifo cha kanumba anashindwa nini kurudi nyumbani kutatua matatizo yote haya?
Hakuna lolote la maana analokwenda kulifanya huko, ni uzururaji tu kwa gharama ya kodi zetu kila siku
Haya mambo ya Pwani haya unaweza ukakuta (nina uhakika 90% bado nafanya uchunguzi) kuna ka small house huko kamemchanganya mtu mzima (usifanye mchezo na hii kitu hii) ambako katukatu hakataki kuja Tz (ni maskini sana, pachafu, pananuka au hakataki kumharibia kwa mama/public)
Vinginevyo sioni kabisa maana ya hizi safari za kuvinjari za Ughaibuni zisizokwisha na zisizojali gharama zake kubwa wakati serikali na wananchi wake tupo hoi!
Kakifa hako naamini hizi safari za kila siku zitakwisha
KIKWETE NI MZIGO KWA TAIFA LETU.
Huyu Rais wetu sio mzalendo hata kidogo.
Anadidimiza uchumi, anachochea udini, analea ufisadi, amejilimbikizia mali na wala hana ndoto ysa kusukumambele gurudumu la maendeleo la taifa letu
hata kichwa nazi kinafaa kulimwa kwenye ndoo, ushahidi uko magogonisikuwahi kufikiri hata siku moja ndoo zenye udongo kugeuka shamba la nyanya zenye ubora wa juu. hakwenda kukagua nyanya peke yake alikwenda kwenye mkutano wa uwekezaji lakini zaidi ulikiona kilimo cha nyanya kinacholimwa kwenye makopo/ ndoo? Hii inaonyesha kwamba hata watu wa kwenye kichanga au udongo usio na rutuba wanaweza kulima kama udongo utachukuliwa sehemu nyingine ya nchi.
Yani rais anaenda brazil kwenda kukagua nyanya tu???
hata kichwa nazi kinafaa kulimwa kwenye ndoo, ushahidi uko magogoni