Nini kitatokea misri ....,...,...na ....!

Nini kitatokea misri ....,...,...na ....!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,945
Kuna kila dalili kuwa huenda moto ulianzia tunisa ,ukasambaratisha tawala kadhaha za mataifa ya kiarabu kama Misri ,Jordan na hata Syria.Inawekna mataifa ya magharibi yakasherehekea kuwa huo ni ushindi wa DEMOKRASIA YAO!Lakini wasijeshangaa baada ya uchaguzi watakao shinda wakawa ni wale wenye msimamo mkali wa kidini na hapo dunia ya kiliberali itakuwa imeruka haja ndogo na kukanyaga HAJA KUBWA ....TUTAFAKAFRI!
 
Inawezekana, bali pia inawezekana hata al-qaeda wakaimarika katika nchi hizo zilizoandamwa na zikashindwa kutawalika. Nimefatilia mambo ya Israel ambapo waziri mkuu Netanyahu anaiangalia hali ya Egypt KWA TAHADHARI KUBWA MNO.
 
Back
Top Bottom