Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,810
- 7,696
- Thread starter
- #381
Angebadili katiba au?Asingestaafu huyo jiwe
Angebadili katiba au?Asingestaafu huyo jiwe
Vyovyote kwa sababu hata alipokuwa rais hakuwa anafuata katibaAngebadili katiba au?
🤣🤣1. Miradi mingi ambayo aliianzisha itasimama
2. Chattle kitabaki kijiji kama zaman tena enzi za nyerer kabisa
3. Uwanja wa chattle utakuwa eneo la kuchezea mpira na matamasha ya dini
4. Viongozi wengi wataonyesha uhslisia wa kipindi cha mzee magufuli..
Ntakuja baadae kidogo.. Naenda kwenye uzi wa kula tunda kimasihara
Hapa kweli palikuwa na kaziNchi itakuwa kwenye madeni makubwa
Nchi itakuwa kwenye umasikini.
Magufuli anaua uwekezaji, anaua ajira nchini kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.
Hivi huyu mwekezaji hapa chini kosa lake ni nini?
View attachment 1690196
Jamaa alikuwa na kichaaHapa kweli palikuwa na kazi
Na kichaa kilimpendeza kwelikweliJamaa alikuwa na kichaa
Safari hii kafukuzwa yeye. Kuna mtu alisema aliyezoea kunyofoa watu safari hii ananyofolewa yeye.Na moja ya vitu vinavyo fanya nimeheshimu mwenyekiti Mbowe. Ni discipline Chamani, akitamka hata vitu vyenye maswali mengi Chama kinatulia hakuna kelele. Sio mwenyekiti kasema , na wengine wanatoa kauli, na waliojaribu walifukuzwa Chadema bila msamaha. Ni mwendo wa kutii tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado mmoja, naye anyofolewe tuSafari hii kafukuzwa yeye. Kuna mtu alisema aliyezoea kunyofoa watu safari hii ananyofolewa yeye.
Bado unamkubali?Nchi Iko vizuri sana, namkubali sana mama yetu anafanya kazi nzuri japo anamakosa madogo madogo.
Bado namkubali Sana sana. Mitano inamuhusu na imefikia wakati sasa picha yake iwekwe kwenye pesa yetu.Bado unamkubali?
Toa tathminiNchi Iko vizuri sana, namkubali sana mama yetu anafanya kazi nzuri japo anamakosa madogo madogo.
Usalama upo wa kutoshaToa tathmini
Naliona hilo ila kuwindana kwingiUsalama upo wa kutosha
Sasa unataka watu wacheke na kima shambani kweliNaliona hilo ila kuwindana kwingi