S.M.P2503
Platinum Member
- Nov 25, 2008
- 3,448
- 6,479
Yafuatayo yatafuata ndani ya miaka mitano ijayo 2020-2025.
1. Madeni yahusianayo na miradi mikubwa ya maendeleo kuwaelemea Watanzania. Miradi hiyo kukwama kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo Riba au kutokukopesheka.
1a. Kuwalalamikia wapinzani kama chanzo cha kukwama miradi hiyo ilihali kila kitu ni CCM.
1b. Kutokujua ni nani haswa ni mchawi wa matatizo yetu kama taifa.
2. Watu kutokuwa na furaha kila pembe ya nchi na akili kuwarudia na kujua ni haswa chanzo cha kutokuwa na furaha.
3. Vitendo vya kiuhalifu kuongezeka kila sehemu ya Tanzania mara 1 zaidi ya sasa.
4. Jumuia ya kimataifa either kutuacha tupambane na hali zetu hadi akili zituingie au kuja kuokoa jahazi kwa masharti maalum.
4a. Mabeberu kukubalika rasmi bila mkwaruzo kama nguchiro na kichuguu kuishi nyumba moja.
5. CCM kukubali kiaina makosa ya wizi wa kura na kunyoosha mikono mambo yakiwa si mambo.
6. Revolution ya wananchi bila kupitia njia za vyama vya siasa au utaratibu mwingine uliowekwa kisheria. Njia zozote zile zitakuwa ni hiari ya mhusika anayezitaka kwa mfano wa Tunisia.
7. Mauaji na kutekwa kuwa kitu cha kawaida kwa wapinga CCM na vibaraka wake
8. Kutafutwa (kwa udi na uvumba) wa national unity bila mafanikio kwa style ya Libya au Kenya.
9. Maisha mfamo wa Zimbabwe kuja Tanzania kwa sababu mbalimbali ikiwemo vikwazo na kutengwa kwa serikali itayoundwa
10. Supportes wa CCM (polisi, JW, na wengineo ) kulianzisha mara maji yakiwafika shingoni.
11. Ongezea mengineyo
12. Povu ruksa bila ushabiki