PLC Maana Yake Kwa Kirefu Ni Public Limited Company, Kampuni Zinazomilikiwa Na Umma Kwa Njia Ya Hisa Yaani Zimeorodheshwa DSE.Msaada jamani anayeelewa . Hili neno linatumika sana kwenye makampuni, mfano. Ubungo Plc, Crdb bank plc,Nmb plc. Anayejua atueleze kwani wapo wanaotoa tafsiri mbalimbali, kama vile Public liability company, wengine Private liability company .
Watalaamu wa uchumi na mambo ya fedha watuambie
PLC=public limited company.Msaada jamani anayeelewa . Hili neno linatumika sana kwenye makampuni, mfano. Ubungo Plc, Crdb bank plc,Nmb plc. Anayejua atueleze kwani wapo wanaotoa tafsiri mbalimbali, kama vile Public liability company, wengine Private liability company .
Watalaamu wa uchumi na mambo ya fedha watuambie
Programing logic ControlMsaada jamani anayeelewa . Hili neno linatumika sana kwenye makampuni, mfano. Ubungo Plc, Crdb bank plc,Nmb plc. Anayejua atueleze kwani wapo wanaotoa tafsiri mbalimbali, kama vile Public liability company, wengine Private liability company .
Watalaamu wa uchumi na mambo ya fedha watuambie
PLC= Public Limited CompanyMsaada jamani anayeelewa . Hili neno linatumika sana kwenye makampuni, mfano. Ubungo Plc, Crdb bank plc,Nmb plc. Anayejua atueleze kwani wapo wanaotoa tafsiri mbalimbali, kama vile Public liability company, wengine Private liability company .
Watalaamu wa uchumi na mambo ya fedha watuambie
PLC Maana yake ni kampuni zilizoruhusi watu binafsi(raia) kununua hisa. Kwa hiyo kwa njia moja au nyingine RAIA wenye hisa huwa wamiliki wa hizo kampuni.PLC=public limited company.
Zinauza hisa katika soko la hisa la Dares salaam (DSE). Kuna asilimia fulani raia wabaruhusiwa kununua hisa zake na kuzimiliki.