Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,696
- 3,434
Havina madhara sema kauli za kimasikini na kukosa pesa ya kununua chips mayai ndo changamotoHuwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.
Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.
Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.
Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.
Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.
Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa
Asante sana mkuuMkuu chipsi hazina madhaya yoyote yale,labda wapige vita mafuta,na wakipiga vita mafuta maana yake hata maandaz,kachori,chapati na mikate ya mafuta wapige vita.
Tunaaminishwa vitu vya kipuuzi tu mkuu na tusiviamini sana lazima tuwe na uchakataji wa taarifa kama ulivyofanya wewe.
Leo hii mtu akila muhogo uliokaangwa anajiona super na very natural but kiazi cha kukaanga ndio wanaanza kupiga vita.
Maandani yanakunywa mafuta,kalimati zinakunywa mafuta,kuku wa kukaanga nae usiseme,nyama ya kukaaga nayo usiseme mzee,ila haya yote wanayanyamazia.
Kimsingi point ya kunote ni kwamba ule utakaposikia njaa,usile ukashiba kiviilee,na kula unachojisikia chochote,huo ndio mfumo angu.
Asubuhi zoezi kama dk 35
Then napiga maji kidogokidogo bila kula chochote mpaka mchana saa 7.
Then menyu ya pili saa 1 usiku,then baada ya saa 3 sili chochote,japkkuwa kuna siku naibia ila mara nyingi naihi hivyo.
Huo ndio mfumo wangu.
Kwanza jifunze kuandikaππUnajuwa clorestal ni nini?
Enhe baada ya hapo ππVijana wa dar wanakwambia chips yai iwe rojorojoo πππ
Kwa hiyo mihogo imeandikwa kwenye bible? Mbona ukiikaanga hawasemi ina shida?Kwanza sio chakula cha kondeni. Hichi kiazi kimebuniwa tu. Pili kinakunywa mno mafuta. Tatu kwa kuwa sio chakula cha kondeni kwa mujibu wa bibilia. Hakina baraka
Nazigonga vizuriNi mteja mkubwa nn ππ
Chips zao elfu 5 Cc ephen_Kaanga chips hakikisha mafuta yamejichuja vizuri.
Siku hizi kuna mashine za kuhoka chips bila mafuta.
Kama unawajuwa KFC nunuwa chips kwao ndio utajuwa chips zinatakiwa ziweje.
Mwanaume unalilia chips, jinga kabisa.Kwanza jifunze kuandikaππ
Sema mm sijawah kuzila nikashiba ww huwa unafanyaje ili ushibe?ππNazigonga vizuri
Mbona unapanic ππMwanaume unalilia chips, jinga kabisa.
Itakuwa unabinuliwa tipper siyo bure. Mwanaume unalilia chips?Mbona unapanic ππ
Jifunze kuandika cholesterol kwanza halafu tuanze kuiongelea
Kwanza unajua components za cholesterolItakuwa unabinuliwa tipper siyo bure. Mwanaume unalilia chips?
Tatizo watu WA dar mnakula daily mara tatu miili inajengwa na mfuta na wanga pekee yake + soda apo lazima nguvu za kiume zikusumbueHuwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara.
Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika.
Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula kingine kama wali/pilau hamna mtu atakuambia vina madhara.
Hayo mafuta yanayotumika kukaanga ukiyatumia kupikia au kukaanga chakula kingine hamna mtu anayasema hayo mafuta.
Lakini tatizo linakuja hayo mafuta yakikaanga viazi vilivyokatwa vipande (chips) ndo vinakuwa na madhara mara nguvu za kiume, mara mambo kibao.
Watu wenye uelewa na hili tafadhali nielewesheni hapa