Nini kinatokea 'ukimpotezea' mwanamke?

Nini kinatokea 'ukimpotezea' mwanamke?

Kwanini umwambie unampenda halafu umpotezee? Unadhani hakuna wanaume/wanawake wengine ambao wanammezea mate na kutaka kuwa naye kama mpenzi? Utakuta vumbi tu kisha ubaki kujilaumu.



Niliwahi kusoma 'utani' mahali kwamba; Kama unataka 'kumuua' mwanamke, basi mwambie unampenda kisha usiongee nae tena!!(Tell her you love her,then ignore her!)

Lakini, je ni kweli mwanamke 'anaekushobokea' ukimpotezea anazidi kukushobokea zaidi?

Vipi kuhusu wanaume; mwanamke unampenda lakini anakupotezea licha ya kumwonyesha unampenda, je utazidi kuumia juu yake au?

*Can this trick be used to make women/men get attracted to you?
 
Sasa kuambiwa unapendwa sio ajabu as unaambiwa sana tu, so mtu akiniambia ananipenda then akanipotezea yaani hataaa simtilii maanani, maybe km nilikuwa nina interest nae basi kidogo nitawaza whats wrong!!
 
Wewe nawe sijui umekula MAHARAGWE YA WAPI WEWE.....
Yani wewe ni JINGA kabisa....
Hujui kuwa ukitaka kumkomoa mwanamke yeyote duniani mpumbaze pumbaze akuvulie CHUPI mgonge then mpotezee.....

Yaani hapo wanawake UJANJA wote KWISHAA.....
Si ushachezea kisimi chake, umeona ndani yake, ladha yake umeonja.... Hana mpya tena....
Ndio mimi huwa nafanya hivo siku zote. Na sitaacha. Na ninafanikiwa sanaa...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Wewe ni umebobea
 
SAA nyingine unaweza kumtongoza mwanamke, hlf baada ya hapo hakupi reaction yoyote, hakwambii "yes" wala hakwambii "no


SAA nyingine unamtongoza demu hlf hakup jibu kama ni yes or no, hlf haoneshi hata dalili ya kujisogeza na kutaka kukujua zaid, sasa kama mwanaume hapo unadhan unafanyaje zaid ya kupotezea, coz unajua hapo hauna MTU joanah atoto

Ndio maana nikasema kumpotezea mtu ambae hana interest na wewe unakuwa umemsaidia yule unayempotezea, hii ijaribu kwa alie na interest nawe, ila nayo yaweza kukucost, kuna watu hawawezi kuhandle kupotezewa, so ukimpotezra nae anakupotezea.

Kuna jamaa walijazana ujinga bar na wenzie nae akaamua kumpotezea kiaina binti ili kuvuta atention yake, kilichomkuta anasimulia hadi kesho, aliishia kulia yeye.
 
Ndio maana nikasema kumpotezea mtu ambae hana interest na wewe unakuwa umemsaidia yule unayempotezea, hii ijaribu kwa alie na interest nawe, ila nayo yaweza kukucost, kuna watu hawawezi kuhandle kupotezewa, so ukimpotezra nae anakupotezea.

Kuna jamaa walijazana ujinga bar na wenzie nae akaamua kumpotezea kiaina binti ili kuvuta atention yake, kilichomkuta anasimulia hadi kesho, aliishia kulia yeye.

Basi huyo binti hakuvutiwa na jamaa kihiiiivyo atoto
 
Basi huyo binti hakuvutiwa na jamaa kihiiiivyo atoto
Nop, walikuwa wanapendana vizuri tu, na hakukuwa na tatizo, ila ni uboya wa mwanaume kuleta utoto usomaana, bibie akaona hapa hamna mwanaume, nae akapotezea alafu sasa yeye alipotezea for good.
 
Kumpotezea?????

Huo UJINGA SINA KUBABAKE.....
Nikisha mwambia "I love you" akiingia mkenge tuu, sikawizi namgonga nambanjua then namtema nasepa mbele.....
Wanawake ni wa kugongwa tuu... Tunawagonga tuu..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Sijapenda kauli yako eti wanawake ni wa kugongwa tuu....
Not fear kabisa rekebisha kauli yako.


 
Eeee bwana eee mimi nina experience na hicho kitu. Sema sijui unamaanisha nini by kumuua, kumuua kweli au kumuua kumuumiza? Anyway mimi nimeelewa kumuumiza.

Siku zote huwezi kufight na nature, women are wired differently from men. Wanawake wapo more emotional than wanaume, kwa maana hiyo mwanaume akimwambia mwanamke anampenda, mwanamke anaanza kua attached, hata kama hakupendi. That's how they are. Baada ya muda atadevelop feelings tu, ni lazima. Kwani wanaume wangapi wamekuwa na ubavu wakumtamkia hivyo. Women love confidence.

Je ukimpotezea? Hapa sasa unatakiwa utumie akili, sio kwamba eti umemuona mwanamke leo ukamwambia unampenda alafu ukampotezea, na yeye atakupotezea tu. Lakini kama ulikuwa karibu nae, kwa maana ya urafiki, mnaongea wote etc, ukamwambia unampenda alafu later on ukaanza kua distant, mawili yanaweza kutokea... A) anaweza kukupenda zaidi, siku zote sisi binadamu tunapenda vitu tusivyo kuwa navyo. Mfana wewe uliitamani sana iPhone 6, umepata hela umenunua lakini utaipenda iPhone 7 kwa maana hauna hela, ukiipata utaichoka utapenda kingine amabacho hauna. B) anaweza kukuchukia vibaya sana. Hii sijawahi experience wala kuona. Actually A is more common.

TL;DR women love challenges, if you are too nice on her she will lose interest. Nasikia hata kwenye marriages na relationships you have to be distant muda flani, ilikukeep the fire burning. Kwa niliyoyaona mi naona atakupenda zaidi, anaweza asionyeshe but moyoni atakupenda tu. That's nature. Anyway on my side I am playing a dangerous game huyu Dada niliye nae sasa hivi siwezi kumpotezea, I hope nature won't take its course akanichoka

UPDATE: plus you never ask a fish how to fish. Kwa maana usiwaulize wanawake how to attract them, ask the fisher man

-callmeGhost
Nahisi B imeshawahi kunitokea
 
Mi nimewahi kuifanya hiyo ishu, nilimtokea dem mmoja hivi sikuwahi kumtongoza. Basi tukawa marafiki kama wiki 2 hivi halafu nikaanza kumpotezea.
Akipiga simu sometymz sipokei akituma text namjibu short. Na sababu ni kwamba sikuwahi kumpenda ila washkaji zangu wawili walivutiwa nae sasa wakawa wanaogopa kumfuata nikawaambia nitawachukulia wakabisha so nilimfuata yule dem kuprove umwamba wangu tu.
Basi bwana yule dem alinipa shida na vitisho juu kwamba inakuaje nimejenga urafiki halafu nimempotezea, maswali kibao una nia gani na mimi mara umetumwa dah. Lakini siku ya mwisho ikabidi niwe nae sababu niliona nimeyataka mwenyewe sababu alikua analia na kulia kumbe kanipenda vibaya mno. Nakumbuka tulidumu miaka miwili tukaachana lakini ndo alikua the best girl i ever had mpaka leo hii, coz nilijifunza kumpenda nikampenda basi ikawa mororo.
 
Psychological torture hio mkuu don't try... utaharibu ndoa za watu...

I tried before... it's dangerous.
 
Sahivi na sisi tunapenda eat and run hivyo muangalie style mpya yakutukomoa hii sio tena.


Hamna kitu hicho wewe....
Mwanamke ukishamgonga anakua kama punguani kabisa.... Hawezi ku run tena, labda kama humsugui barabara....
Nasema haya sababu wanawake nimeishi nao, nimewagonga sanaa, na kuwatema sanaa...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Niliwahi kusoma 'utani' mahali kwamba; Kama unataka 'kumuua' mwanamke, basi mwambie unampenda kisha usiongee nae tena!!(Tell her you love her,then ignore her!)

Lakini, je ni kweli mwanamke 'anaekushobokea' ukimpotezea anazidi kukushobokea zaidi?

Vipi kuhusu wanaume; mwanamke unampenda lakini anakupotezea licha ya kumwonyesha unampenda, je utazidi kuumia juu yake au?

*Can this trick be used to make women/men get attracted to you?
Ni sawa na kumpiga teke chura hili kumuongezea mwendo.
 
We engineer unaonekana umewageuza wanawake kama vifaa vyako vya kazi maana mkuu nimefuatilia comment zako nyingi ni kugonga na kusepa anyway dunia imechange bora tafuta mmoja utulie au ikiwezekana oa kabisa mkuu maana wanawake huwez kuwakomoa sana sana utaumia mwenyewe, unakumbuka juzi tu ulikuwa unalia ex- girlfriend wako amekutia hasara so be...
This boy lazima kuna kitu, ana hasira sana na wanawake! Akidhani anawakomoa kumbe anajiumiza tu ndio maana pamoja na kubragg hivyo kila siku still hajapata releaf.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom