Nini kinatokea TFF jamani??

Shirikisho letu la mpira Tanzania limekuwa la Ajabu sana jamani nini kinatusibu Tanzania jamani??
Naona Mauza uza tu
Ktk wanafiki waliomkataa Manji pale Yanga nawe ni mmojawapo,kilichopo tff ndio kilichopo Yanga kwa ss,kawaulizie wachumia tumbo wenzio ndio watakujibu hii taka taka yako
 
Katika wanafiki wasiojulikana lakini Wapo ni wewe
Unanipa ufalume wa kumkataa manji Ila waliomshauri manji Yanga inakodishwa umewaona ni wana wa Mungu
Naongele Move ya Titanic TFF
Wewe unaleta ya Manji
Ni moja ya marazi tuliokuwa nayo katika Taifa letu haya
 
Yanga aikodishwi sawa,nendeni ss mkawalipe mishahara wale wachezaji!
 
Nani kawambia wachezaji wanadai mishahara maneno yenu ya mtaani hayo
Munadanganyana
Hakuna mchezaji anaeidai Yanga hata mmoja
Ila mtaambiwa wachezaji wanadai ili muzidi tawaliwa
 
We jamaa mirembe inakuhusu!acha tutawalie cku yake Yanga itakua ya manji na ndio utakua mwisho wenu mnaoishi mjini kwa kuitegemea Yanga
 
Munadanganyana tu Manji hawezi rudi Yanga hata siku moja imebakiwa history tu kama viongozi wengine waliopita Yanga
Endeleeni kudanganyana tu huko mtaani
 
Hamtaki manji arudi Yanga ili muendelee kuuza jezi,kiunafiki unaulizia mattz ya tff ikiwa we ni mmojawapo wanaochipukia ktk kuongezea mattz ya mpira wetu kwa ajili ya matumbo yenu!Manji tunampa Yanga iwe yake kwa % zote soon,nyie jiandaeni mkalime tu shamba
 
Sasa yuko wapi huyo manji
Nani kakuambia manji anaitaka Yanga
Achaneni na maneno yenu ya vijiweni
Kabwe anauza jezy kupitia Kampuni gani Na kwanini asikamatwe
 
Nani anamtaka mwenzake?yanga au manji?naona kila MTU yuko upande wake...simba oyeee
 
Hamtaki manji arudi Yanga ili muendelee kuuza jezi,kiunafiki unaulizia mattz ya tff ikiwa we ni mmojawapo wanaochipukia ktk kuongezea mattz ya mpira wetu kwa ajili ya matumbo yenu!Manji tunampa Yanga iwe yake kwa % zote soon,nyie jiandaeni mkalime tu shamba
Kama ndo hao waliotubania kupata madola ya Manji hana sifa za kujifanya anaongelea matatizo ya TFF ndo wale wale wanaojifanya watu wa mpira
 
Katika wanafiki wasiojulikana lakini Wapo ni wewe
Unanipa ufalume wa kumkataa manji Ila waliomshauri manji Yanga inakodishwa umewaona ni wana wa Mungu
Naongele Move ya Titanic TFF
Wewe unaleta ya Manji
Ni moja ya marazi tuliokuwa nayo katika Taifa letu haya
Wewe na mzee Akilimali ndo mmeifanya Yanga ifike hapa, timu mishahara hakuna, kila kitu hovyo hovyo. Si ajabu wewe na Mkemi mkauza mechi na waEthiopia kwa tamaa zenu mlizonazo.
 
Nani kawambia wachezaji wanadai mishahara maneno yenu ya mtaani hayo
Munadanganyana
Hakuna mchezaji anaeidai Yanga hata mmoja
Ila mtaambiwa wachezaji wanadai ili muzidi tawaliwa
Yanga imekulisha vya kutosha, kuanzia kwenye magroup ya Whatsapp hadi viingilio getini. Hatukuhitaji tena... umeibia watu sana whatsapp ukijidai unachangishia timu kumbe unakula wewe.
 
Back
Top Bottom