Nini kinasababisha nikihonga mapema siwapati?

Ameshajua kuwa, kwa style zako hizo za matumizi ya ovyoovyo,e ni lazima utakufa masikni.
Mtu gani hujui dhamani ya fedha.
Duh mnavyo laumu utafikiri nimehonga hela nyingi swala nilitaka kujua tu kuna uhusiano gani au yeye huwa anafikilia nini basi (naogopa hata kusema nilihonga bei gani maana ni aibu )
 
Take note..
U nailed it brother
 
Inaonekana huyo mwanamke anajielewa. Kwamba huwezi kumtumia hela tu bila yeye kukuomba ina maana wewe ulikuwa unatupia chambo kwani yeye samaki ili umle tu???
 
Sasa kama chambo umesha mpa ameshiba utamnasa samaki na nini mzee ?
 
usipoangalia utakuja tundukiwa dripu kama jina lako lilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…