Nini kinamliza mwanamke kitandani?

Status
Not open for further replies.
Kama analia nadhan atakua ni dadake na Daud Bashite huyo demu wahi kariport Central Police mkuu.
 
Inasemekana 70% yawanawake akiwa analia kitandani, hufanya hivyo kumridhisha mume,,,, na sikwamba anafanya hivyo kwa kumaanisha,,

Only 30% wafanya hivyo kwa pleasure!!!

Wanawake Mungu anawaona
Loo!! kumbe nyiye wadada mnalia kwa mengi hiyvi
Loo!! Kumbe nyie wanawake mnalilia mambo mengi hivyo.... Kwanza hiyo point ya kwanza, minaona maumbile ya mungu tu hayo kwanini mlie.
 
Huyo ni msenge tu aliyesema hvyo abadl jinsia yy tuone km atakailika hyo mapungufu yote aliyoorodhesha sbb kila sbb inamgusa mwanaume km co moja bx 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…