Nini kinamliza mwanamke kitandani?

Status
Not open for further replies.
I agree with you but stamina is the running force chief...
Stamina is important but more important is the technical know-how. Mimi wakati mwingine ninakuwa nimechoka kutokana na mishughuliko mingi lkn bado ninamaliza haja ya mwenza wangu nikihisi ana hamu.
 
Maana yake una zaidi ya uzoefu kwenye hiyo sekta ya Eden
 
 
Kulia na kuguna kulikuwa kitambo 2000 kurudi nyuma, siku hizi Wanawake wanalialia na kugunaguna hovyo hovyo tu!
 
Kuna huyu mmoja anaitwa ………, ali niacha hoi baada ya kumfanyia huduma tam na kulia sana si akaanza kuomba po eti mkojo unatoka, yaan hawa ladies bwana akaenda kukojoa na ukawa hautoki yaan nyie ladies noma sana.

Huku ukiendelea na mchezo, mpe jibu rahisi tu "kojoa utafua kesho"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kibamia wewe kwa hiyo unataka kumkosoa Mungu?
Inasemekana 70% yawanawake akiwa analia kitandani, hufanya hivyo kumridhisha mume,,,, na sikwamba anafanya hivyo kwa kumaanisha,,

Only 30% wafanya hivyo kwa pleasure!!!

Wanawake Mungu anawaona
 
Ni kwakua mnalazimishaga! Sio siku zote mwanamke huwa na hamu ya mapenzi, ila nyie mnataka kila siku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo sababu ya wansume kuwa na michepuko. Wanawake ashiki zao ninza msimu. Hiyo ni nature.
 
Naomba mutuelezee sisi wa huku Mtwara staili ya katerero ikoje?

Please ,tunataka na sisi tujifunze maana watu wa kusini huwa tunapiga kifo cha mende huku tumezima taa na baada ya bao moja tunalala '
 
Mngekuwa hamuwezi kila siku basi na msiwe mnaomba pesa kila siku. Tatizo lenu mnataka kula ila msiliwe.

Yani nikahangaike wee nikuhonge, na bado unipangie ratiba ya kunipa?

Shwain!
 
ahahaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…