Nini kinamliza mwanamke kitandani?

Status
Not open for further replies.
Miss flani** wewe una uzoefu mpana kidogo unafaa kuelimisha ** maswala kama haya

siyo me peke yangu changanya na story
 
Mapenzi ni somo watu wanatakiwa kukaa darasan na kufundishwa wasabu ndoa nying na mahusiano ya wtu wengi yanavunjika kwa sabu watu hawajui kufanya mapenzi
 
Mapenzi ni somo watu wanatakiwa kukaa darasan na kufundishwa wasabu ndoa nying na mahusiano ya wtu wengi yanavunjika kwa sabu watu hawajui kufanya mapenzi
Hata ufundishwe ukeshe!!!

Huwez faulu,,, bila kuhusisha Common sense na Self Additions! '!!

Pia inategemea xana genetic makeup,
 
Umenena ukweli mtupu....lakini tupe experience yako........katika haya yote wewe miss chagga unapataga kipi sana sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…