Nini kinamliza mwanamke kitandani?

Nini kinamliza mwanamke kitandani?

Status
Not open for further replies.
sifa za mwanamke anapoa kuwa kitandani kwanza kiuno kama chapaka pili kujilizaliza yani apo haijalishi kuwa anaenjoy au laa., kwanza kwangu mimi napokuwa na mpenz wang kitandan huwa namhamasisha ajitahid kamlio kapatikane...
Kwa hiyo unachomeka tu na kilio hicho
 
Mimi simtaki Miss Chagga coz sina pesa za kumkidhi.

Ninaweza kumridhisha kwa Bed lkn akatoka kwaajili ya Dola.

Mkuu huyo chukua mwenyewe au km u mwanamke basi mpe Kakaako lakini sio unletee shida Mimi za moyoni
Hahaaaa nishajua uunachomkimbia nini miss chagga walla hahitaji pesa kama usemavyoo kulaleki wewe utakuwa mwanaume wa dar
 
Hahaaaa nishajua uunachomkimbia nini miss chagga walla hahitaji pesa kama usemavyoo kulaleki wewe utakuwa mwanaume wa dar
Duuuu!! Mwanaume ni mwanaume tuu mkuu haijalishi anaishi wapi.

Ila nipo Dar kwa muda kimasomo namaliza tar 30 mwz wa 6 katika chuo kimoja kikubwa katika taifa hili.

Mimi mtu wa Kaskazin Mkuu, huyo Miss Chagga namjua na kwa kudhamiria simuhitaji tuu. Sitaki kufa kwa kihoro mimi
 
Kwa hiyo unachomeka tu na kilio hicho
Miss chagga umemsikia au dharauuu
Duuuu!! Mwanaume ni mwanaume tuu mkuu haijalishi anaishi wapi.

Ila nipo Dar kwa muda kimasomo namaliza tar 30 mwz wa 6 katika chuo kimoja kikubwa katika taifa hili.

Mimi mtu wa Kaskazin Mkuu, huyo Miss Chagga namjua na kwa kudhamiria simuhitaji tuu. Sitaki kufa kwa kihoro mimi
 
ukipata pesa njoo

Hahahaaha!

Ngja nmalize shule wee mwanamke nikuoneshe pesa ziko wapi maana naona watu wanazitafuta wakati zikifichwa nilikuwepo.

Namhitaji Mwanamke awezaye kuishi Kama mwanamke na sio Kama pambo la makasino
 
Wee unataka unipe zawadi isiyo nitaka, sijui hunipendi!!!
Hahaaa eti kasuusaa nikuambie kitu siri yako lakini kuna kitu kinaitwa isale tafuta hilo uende nalo hata kama umeenda na mifuko imetoboka na kandambili miss chagga hatathubutu kukukatalia anajua shughuli yake amini hivyo wee litafute uende nalo
 
Mkuu naona umedhamiria kabisa, sina budi kujisogeza karibu yaonekana zawadi yenyewe ni Tamu.

Hiyo Isale ni kitu gani Mkuu??
Embu nielezea kwa nukta nielewe au Ni pm kabisa maana nimejikuta Shauku ikinikaba rohoni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom