Adamu Alphonce
Senior Member
- May 2, 2012
- 146
- 226
Wadau mi mtumiaji mkubwa wa haya mabasi lakin muda umeshaenda sana na kile kipindi tulichosema cha kutatua changamoto zilizopo kwa waru serious wangekuwa wamezirekebisha.kiukweli hali si shwari haswa kwa wasafiri wa kutoka au kwenda kimara usafiri upo tofauti na tulivyoelezewa jins utakavyokuwa,kero ninazokutana nazo ni
1.watu kugombania kama usafiri wa mbagala au gongo la mboto kujazana kupita kiasi sababu ya uchache wa magari haswa asubuhi na jion tofauti na tulivyoambiwa unaweza kuacha gari yako nyumban ukaenda kupanda usafiri wa kistaarabu ila kinachendelea sasa ni kupaka majasho tu
2.Tuliaambiwa kwa mujibu wa usafiri huu magari yatafika kituon kila baada ya dakika tano lakin ni swala la kawaida kabisa sasa kukaa kituon zaid ya nusu saa haswa nyakati za mchana hawazingatii muda kabisa.
3.Hawajali wateja na kuzingatia mahitaji mara nyingi unakutabwatu wamejiaa kituoni haswa kituon cha kimara,morroco,na gerezan lakin magari yamepak bila maelezo yoyote na watu wanakaa hata nusu saa kubiri gari ya kuja kugombania na kuna magari matupu yamepak pale pale watu wanayaona,(kwa upande wa kimara simzungumzii magari ya kwenda mbez) na wakati mwingime kwa upo gerezan au kivukon abiria wengi ni wa kimara na mbez na gari zimefata za kwenda morroco kwenye abiria wachache linaweza kujaza gari moja abiria wote wa morroco na mengine yakaondoka matupu wakati huo huo abiri wa kimara mbez wamejaaa kituoni.
4.Magari haya licha ya ukubwa wake kasoro yake ni kutukuwa na cooling system na wakati sisi huku ni mchi ya joto hasa kipindi hichi na ule mbanano ni shida tu sababu ikinyesha mvua mnalazimika kufunga vioo hewa inakuwa nzito sana haya magari yalikuwa maalum kwa nchi za barid sisi tukayaleta huku na tatizo kubwa sana kwa afya zetu.
5.Hitimisho uendeshaji huu wa ujanja inaonekana kama wanakwepa kuendesha kwa hasara au mahitaji yamewezid au kuna mengine ambayo hawayesemi hapo aijazungumzia swala la 50 zetu tunazoziacha kwa kisingizio cha kukosa chenji,bado hatujafika hata asilima 30 ya uendeshaji wa huu mradi kulinganisha ni nchi kama sout ambapo kuanzi ticke inakuonesha utapanda gari namba ngapi na utaondoka saa ngapi na utafika saa ngapi na inafata hivyo ila hapa kama tunafanyia hisani
6.Tofauti ya mwendokasi na dala dal zetu ni kuwa hayakai kwenye folen,nauli kubwa na kukataa mizigo kwa kigezi ni usafiri wa kistaarabu lakin wenyewe ndio tunaona shuruba yake lakin mengine yote ni yale na mengine yamezid sababu dala dala zimepungua watu wameongezeka kwemye mwendo kasi..tutapeana magonjwa ya ngoz jaman.!
Naomba kuwasilisha