Nini kinahitajika katika transfer ya chuo?

Nini kinahitajika katika transfer ya chuo?

gadi alex

Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
74
Reaction score
27
Kwanza nawasalim! Mm mwenzenu napenda kuulizia taratibu za kuhama chuo na documents zinazotakiwa msaada tafadhali
 
Kila chuo kina taratibu zake, taja chuo unachotaka kuhamia nikupe taratibu
 
Back
Top Bottom