Mahusiano ya kudumu pawe na vitu ivi pande zote mbili.
...SUBRA
...MAELEWANO
...MAPENZI
...UAMINIFU
...KUHESHIMIANA
KWA wanawake
...ujue kupika
...mjali na mtunze mmeo kama umfanyiavo mtt mdg.
...usipende kushindana na mwanaume,ye akiwa moto na we moto itakula kwako.
Kwa wanaume
...mujue kushukur wake zenu,mnapofanyiwa wema wa aina yyt(kufuliwa,kupikiwa,nk),ili kuzidisha mapenzi muzid kuwapa moyo.
...mapenz yadumu mwanaume jua wajib wako ndani,tekeleza mahitaj yote ya ndan
....mtosheleze mwenza wako ndan sio dakika kumi umechoka,hamna penzi la kudumu apo.