Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,334
- 72,798
Nimejiuliza sana ni kitu gani kinasababisha madawa haramu aina ya Cocaine yakikamatwa yanaonekana ni unga wa ranging nyeupe wakati yanatokana na majani ya mimea yenye rangi ya kijani?
Kama ni chemical zinazotumia katika usindikaji, jee kilicho na hatari zaidi ni hiyo mimea au chemical hizo kwa afya ya mwanadamu?
Kama ni chemical zinazotumia katika usindikaji, jee kilicho na hatari zaidi ni hiyo mimea au chemical hizo kwa afya ya mwanadamu?