Nini kinaendelea?

ukiangalia nywele za huyo dada inaonekana ni kazi kubwa iliyofanyika kulingana na malipo hafifu ambayo hakutegemea kumepelekea tafrani hiyo kuwepo
 
Waigizaji wa Nigeria hao wakiwa kazini. Tayari waliishaingiza siku.

Tiba
 
Waigizaji wa Nigeria hao wakiwa kazini. Tayari waliishaingiza siku.

Tiba
duh mwanzoni sikugundua uliposema hivo ndo nikamgundua huyo jamaa aliyevaa suruali nyeusi
 
Mkuu kwa sisi waswahili ndio utamaduni wetu na maendeleo haya maana kila kukicha utayasikia haya na sisi bila huu uhondo hata kula hatutamani tukor adhazi kukaa na njaa
 
Mke kashindwa kuvumilia kwani jamaa anapiga mihuri tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…