Nini kinaendelea Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board (PSPTB)?

lunyiliko

Senior Member
Jun 10, 2011
171
79
Wanajamvi, ni nini kinaendelea kwenye hii Bodi ya Taifa ya Ununuzi na Ugavi ? Watu walifanya mitihani mwezi May, 2016, hadi leo hawajatoa matokeo. Wanasema watahiniwa wanaruhusiwa kuendelea na stage zinazofuata, sasa najiuliza ikiwa kwenye stage uliyofanyia mitihani mwezi May mtu amefeli masomo yote utawezaje kufanya mitihani ya stage inayofuata? Na hiyo itakuwa ni kinyume na taratibu za mitihani hiyo.

Wahusika kama wamo humu wangetoa ufafanuzi zaidi.
 
ungeenda board kabisa kuuliza.....utapata majibu mazuri zaidi.
 
Wanajamvi, ni nini kinaendelea kwenye hii Bodi ya Taifa ya Ununuzi na Ugavi ? Watu walifanya mitihani mwezi May, 2016, hadi leo hawajatoa matokeo. Wanasema watahiniwa wanaruhusiwa kuendelea na stage zinazofuata, sasa najiuliza ikiwa kwenye stage uliyofanyia mitihani mwezi May mtu amefeli masomo yote utawezaje kufanya mitihani ya stage inayofuata? Na hiyo itakuwa ni kinyume na taratibu za mitihani hiyo.

Wahusika kama wamo humu wangetoa ufafanuzi zaidi.
Nenda www.pstb.go.tz
 
Back
Top Bottom