Nini kinaendelea Ngorongoro?

Shida Wamasai ni wanafiki sana, mno sio watu wa kusaidiwa wala kutetewa, oamoja na kusulubiwa kote still huambii kitu kuhusu CCM yao hio.

Wamasai kuliko uwatetee bora ukatetea hata Wezi.

Nimekaa na Wamasai nawajua walivyo vigeu geu, ni watu wasio kuwa na msimamo katika Taifa hili. Unaweza anza kuwatetea na baadae wakakugeuka wewe unaye watetea
 
Cc denooJ tumeshapotezea hili mara hii? Yaani hamna hata mwenye habari? Kwa staili hii serikali itatuchukulia serious kweli kwenye suala la bandari?
Mbona sikuelewi? "Tumepotezea" kwa vipi?!

Sijanyamaza makusudi, sina taarifa za kinachoendelea Ngorongoro ndio maana.

By the way, mimi siishi Ngorongoro, hivyo siwezi kujua yote yanayomhusu mbunge wao, nategemea habari kama wewe unavyotegemea kuzipata JF.
 
Umeishi nao wapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…