Nini Kinaendelea Kinondoni ?

Nini Kinaendelea Kinondoni ?

firework-14.gif
 
Inanikumbusha Upanga miaka ya 80-90
Kipindi hiki, tulikuwa tunazurura kuwapora watoto wa kihindi fataki
 
Happening right now.

Ni Fataki au milio ya nini ?

Nawasilisha.

Updates :
Ni Sikukuu ya Diwali na wahusika wanasherekea kwa fataki. 🙏
Hawa magabacholi wakafanyie upuuzi wao kwao India siyo Bongo. Ingekuwa dini ya Kiswahili huko ugabacholini wala wasingeruhusu ujinga huu.
 
Kama fatak za magabachor mnaanzishia Uzi wa taharuk halaf mnadanganyana kuandamana

Token tuwavunje nyonga
 
Back
Top Bottom