Nini kinaendelea juu la gawio TTCL?

Hivi kweli inakuingia akilini kuwa TTCL ilipata faida ya 119 Bilion na 167 Bilion kwa mwaka 2017 na 2018 ???. Kweli hili ni taifa la wadanganyika
😁😁😁😁Voda wana wateja 20+Millions.TTCL wana wateja laki 7 + poor coverage & customer care Servces,paying Tigo for roaming services kisha wapate faida kubwa kuliko Vodacom???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya ya kuhojihoji ndio yanapotezea watu uzalendo...
 
Hivi kweli inakuingia akilini kuwa TTCL ilipata faida ya 119 Bilion na 167 Bilion kwa mwaka 2017 na 2018 ???. Kweli hili ni taifa la wadanganyika
Mbuzi ana nyama nyingi kuliko ngamia...siku tukiambiwa kitimoto ana mabawa tusibishe...
Siasa na propaganda vilienda kwenye korosho matokeo tunayaona....
Naunga mkono juhudi...
Maendeleo hayana chama...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…