Nini kimetokea kwa gazeti la Raia Mwema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kimetokea kwa gazeti la Raia Mwema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkodoleaji, Jun 8, 2011.

 1. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu nimezunguka kwa wauza magazeti wa hapa ubungo na mwenge lakini wote wameniambia gazeti la Raia Mwema halijatoka. Je ni kweli halijatoka au watu wamelinunua lote? Je kuna mtu yeyote anayejua linapatikana wapi?
   
 2. m

  mwandupe Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 16, 2008
  Messages: 98
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  Nilisikia jana wanatangaza kwamba linatoka kesho alhamisi badala ya leo jumatano ili kuwapa wasomaji wake nafasi na uchambuzi wa yale yote yalityotokea leo kwenye kikao cha bajeti.
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  kuna thread kama hii na majibu yalishatoka kama hayo hapo juu.
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  linasubiria bajeti litatoka kesho
   
 5. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru mkuu kwa taarifa. This what makes JF great. Asante sana
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Thread closed!
   
 7. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mwongo.
  Bado.
   
 8. B

  Biro JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 331
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  nimeipenda signature yako
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,957
  Likes Received: 420,622
  Trophy Points: 280
  Hivi gazeti linaotoka kulingana na matukio tu au linafuata ratiba yake.........kama kuna jambo la dharura linatoa makala maalumu..............it only in TZ u see this kind of nonsense............
   
Loading...