Sahz mtu anaolewa kufata mali s upendo asa unazan nn mzee !? Ukfata mali anaekuoa anakua na maamuz juu ako atatimiza furaha yake na sio yako"BORA KULALA CHINI NA SIO KULALIA KITANDA CHENYE KUNGUNI"szungumzii kitanda wala kungun hapoWakuu.
Hivi nini kimetokea katika ulimwengu wa mapenzi mpaka nashindwa kuelewa.
Zamani ilikuwa ngumu sana mwanamke kumtongoza na kukuomba hela ila kwa sasa kitu cha kawaida.
Wanawake waliolewa ndo wanaongoza kutafuta furaha nje ya Ndoa zao namaanisha kutoka outing,Ku date na vijana wadogo na kutoka kabisa nje ya Ndoa Zao.
Hakuna mwanamke anayetaka Condom tena wanataka ndizi bila maganda..
Wanaume hawawezi bila mkongo na Viagra.
Penzi la Malaya limekuwa la bei chee,,kuliko penzi la demu wako anayetaka umpe hela ya kodi,nywele,na lotion.
Wanaume wanataka kulelewa.
Mashoga wanaongoza kupaka watu makeup.
Mijimama mijane inaongoza kuliwa mtaani.
Hakuna tena kutongoza unaulizwa una tsh ngapi?
Wakuu Tunaelekea wapi?
Wa zamani siyo wa sasaWakuu.