Nini kimemsibu binti Karume?

Uchaguzi umeisha, amerudi kazini anaendelea na maisha yake, atarudi tena kwenye siasa kipindi cha uchaguzi 2020.

hivyo ndivyo inavyotakiwa kuliko kuishi na stress miaka yote! safi sana bibie fatma...
 
Ndio uzuri wa nchi yetu kipindi cha uchaguzi wataalamu wanakuwa wengi!
 
yupo
 

Hivi kule Zanzibar hakuna msitu wa Mabwepande?
 
Yupo na anaendelea na kazi zake kama kawaida
 
Mziki wa CCM ni mnene akashindwa kuucheza hivyo ameomba pooooo !
 
Kwani uyo tu ata yule himid nae amepotea kabisa. hapana chezea mapinduzi daima
 
ULIPOAMBIWA KUNA MAISHA BAADAYA UCHAGUZI ULIJUA UNAENDELE
UKUJIULIZA LOWASSA KAKUBALI TUKUTANE 2020 WAPO ASNAOMWITA RAIS WAO AMJUI MAISHA YA AMAN BAADAYAUCHAGUZI N MUHIMU ZAIDI.......

LEO HII HUKO MAREKANI SEIF KASEMA ANAITAJI AMANI TUKAE TUUNDE SSERIKALI YA SHIRIKISHO UNAHISI BADO UCHAGUZI UNAENDELEA...NOP

KASOMA NYAKATI
 
Walimuunguzia Hoteli yake! Inabidi aachane na siasa uchwara! Ameamua kuacha tu ipite
 
Hivi sasa ndio katiba inachezewa kuliko kipindi cha uchaguzi!
Haitambui hio serikali ya smz ndio maana kawanyamazia. Kila mtu alitegemea hilo baada ya mapinduzi ya 2015. Serikali ya CCM Katiba kwao ni kama kitabu cha ushauri tu wanafuata wanayotaka tu.
 

Yuko pale REX ATTONEY kwa sinare family family friend of lowasa and ROSTAM
 
Yeye na ndugu yake Balozi Ali Karume haziivi japo the whole family ni CUF but are camouflaging as CCM kupata rizki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…