The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,214
- 3,353
huyu mama alijipambanua kama mpambanaji dhidi ya ufisadi na kujizolea tuzo ya mwanamke jasiri zaidi lakini kwa mshangao wa wengi wapiga kura wamemzuia kuingia bungeni nini sababu za kuanguka kwake?
Ni upepo tu, kama ulivyovuma Kahama kwa Lembeli, Nyamagana kwa Wenje, Musoma kwa Vincent, kwa Zambi, kwa Wasira, kwa Lowasa, etc, and same upepo utavuma Arusha mjini kwa Lema.
huyu mama alijipambanua kama mpambanaji dhidi ya ufisadi na kujizolea tuzo ya mwanamke jasiri zaidi lakini kwa mshangao wa wengi wapiga kura wamemzuia kuingia bungeni nini sababu za kuanguka kwake?
Sio kwa Lema,kwani Arusha watu hawaitaki CCM kabisa,hats umsimamishe Nape kwa tiketi ya Chadema atapita

Aibu sana hii...mtu wanayemchukia na kumbeza akiwa ccm sasa wamvhague mtu huyo huyo akiwa chadema?
Bonge la aibu.
Ndo hayo hayo yamekosesha watu urais na uspika.
Do you get the logic behind his statement? Au unakurupuka tu?
huyu mama alijipambanua kama mpambanaji dhidi ya ufisadi na kujizolea tuzo ya mwanamke jasiri zaidi lakini kwa mshangao wa wengi wapiga kura wamemzuia kuingia bungeni nini sababu za kuanguka kwake?
Aibu sana hii...mtu wanayemchukia na kumbeza akiwa ccm sasa wamvhague mtu huyo huyo akiwa chadema?
Bonge la aibu.
Ndo hayo hayo yamekosesha watu urais na uspika.
Nadhan tatizo bado lipo kwetu sisi wapiga kura hasa wa vijijini kusikokua na TV....mama Kilango alikua mpambanaji lkn wa kwenye tv sio Same....nadhan Same walihitaji madaraja, maji, barabara, shule na mengineyo ikiwamo kutumika pamoja ktk shughuli za maendeleo ya wananchi. Ni kama ilivyokua kwa Kafulila nadhani
Aibu sana hii...mtu wanayemchukia na kumbeza akiwa ccm sasa wamvhague mtu huyo huyo akiwa chadema?
Bonge la aibu.
Ndo hayo hayo yamekosesha watu urais na uspika.
Acha uongo hawamchukii Nape bali matendo yake ndy yanayo chukiwa akibadilika atapendwa kuliko unavyodhani