Hapana siyo Jeuri kwani hamujuwagi kuwa leo vigogo wapo Leaders Club kwa ajili ya mazishi ya RIP KANUMBA???? Nao pia wameenda huko Kinondoni kushiriki mazishi
mkuu taarifa ilishatoka kuwa leo ni siku ya kwenda kukata rufaa ya kamanda lema. nasari yuko karibu sana na kamanda hawezi kumwacha peke yake. kama kuapishwa keshaapishwa na wapigakura wake iliyobaki ni fomality tu basi.
Tusitete ujinga kisa ni chama tunachokipenda, ingekuwa ccm du mngeongea mpaka povu mdomoni, ila cdm sawa tu. Bunge halina taharifa, ratiba ilitolewa tangia wiki iliyopita, ingekuwa mmoja sawa wote wa wawili, cdm imeanza kulewa sifa.
ndugu wote wawili wameenda kukata rufaa ya lema, kwan hakuna viongozi wengine wa kumsindikiza lema, na mbona hawajatoa taharifa, huku si kudharau bunge, tulitegemea awe mfano mwema! Tusishabikie ujinga, hata kama chama tunakipenda.
Strategically kuwaapisha leo siku ambayo watanzania wamekusanyika kumzika Star wa bongo movie makes no sense. Halafu mimi nilisikia kuwa wanaapishwa Jumatano labla kuna mchanganyiko wa ratiba.