Mkekuu yawezekana ila Dodoma Hakuna trufick on way na yeye alikuwa akilijua hilo so angeliwahi hata toka jana
Kwa akili yako unadhani Sioi atapewa ubunge badala yake.Mimi sijangai kwa akili ya huyu dogo alisema tangu kwenye kampeni kuwa huko anakwenda kutafuta mchumba labda amempata na yuko nae honey moon. Sio jambo la kawaida hili. Aibu na fedheha kwa wapiga kura
Wewe Bukanga matusi hayana tija kwani hizo ndizo hisia zangu hivyo ungepaswa kunipa hoja za kuniondoa kwenye hisia hizo kama si za kweli sasa tukianza kujibizana kwa maneno machafu ni kutatua tatizo au kulijenga
Kwahiyo afuate nyayo za SUMARI? What a ****!SUMARI ALIAPISHWA lini.
sioni sababu ya kwenda na msafara dodoma! Na hata kama kuna huo ulazima kwanini usiende hata jana? Wana jf tuliwekewa uzi humu ukionyesha ratiba ya shughuli za bunge na ilionyesha wazi shughuli ya kwanza ni kuapishwa wabunge wapya! Iweje muhusika mwenyewe asifahamu? Au kapuuzia? Sisi wote ni cdm lakini tujifunze kukubali kukosolewa tukikosea