to be very open, kama hakuna maelezo sahihi yatakayotolewa, hili jambo ni kosa kwa chama hichi kinachotoa matumaini kwa wananchi.
mistake like this will cost its movement.
Msafara ndio kwanza umeondoka Arumeru kuelekea Karatu kumpitia mbunge wa viti maalum mpya halafu ndio uelekee Dodoma. Kama Kamati ya Bunge ikiamua kumwapisha wiki ijayo hao wote kwenye msafara itabidi warudi. Huu ni uzembe wa CDM usiokubalika. Hatukubali muwe munaendekeza sherehe badala ya mapambano.
Kwa uelewa wangu mbunge mpya ama mgeni huwa anapangiwa siku (tarehe) na muda wa kuapishwa sasa km siku ama hiyo tarehe na muda haujafika aende bungeni kufanya nini?
akiwahi ataambiwa ana kiherehere akichelewa ataambiwa anadharahu ashike lipi kati ya haya!!!
Wabunge wa chama cha demokrasia hawajakuwepo bungeni kwa kuapishwa kikao cha mwanzo.sababu hatujui.je taarifa ya kuapishwa kwao haikuwafikia au la?
Mwenye neno kuhusu kutoapiapishwa kwao aseme.
Kuna mambo ambayo mpaka sasa spika hajayaweka sawa. Kwa maritime ya mwasiliano yaliyokuwepo awali ratiba ya kuapishwa wabunge wapya ni Jumatano ila ofisi ya Bunge ikafanya mabadiliko over the night.
Mimi sijangai kwa akili ya huyu dogo alisema tangu kwenye kampeni kuwa huko anakwenda kutafuta mchumba labda amempata na yuko nae honey moon. Sio jambo la kawaida hili. Aibu na fedheha kwa wapiga kura